Godbless Lema amekuwa kivutio kikubwa alipowasili hapa Usa river majira ya saa saba na nusu mchana kutokea arusha.alikuwa na maandamano makubwa ya magari,pikipiki,na waenda kwa miguu.Alipokaribia tu kufika vijana wa hapa walimbeba juu wakati wote na kufunga barabara kwa mudampaka walipompeleka sehemu ambako wageni wanafikia.hapa tunasubiri maandamano makubwa ya kupokea viongozi watakaozindua kampeni leo.itarushwa moja kwa moja na star TV
No comments:
Post a Comment