Pages

FAHAMU MPANGO MKAKATI WA MUUNDO WA UONGOZI

MAANA YA MPANGO MKAKATI (STRATEGIC PLANNING) Mpango ni mfumo wa kimaandishi unaoonesha kazi zinazotakiwa kufanywa na hatua mbalimbali za kufikia malengo yaliyowekwa kwa muda maalumu. UMUHIMU WA KUWA NA MPANGO MKAKATI Mara nyingi ufanisi wa utekelezaji huwa mzuri Inaweka mpangilio mzuri wa matumizi ya rasilimali. Inasaidia kuratibu kazi zote ili kufikia lengo. Inasaidia kuweka vipaumbele Inasaidia kutoendeshwa na matakwa ya wafadhili. MPANGO MKAKATI Maana ya mpango mkakati Umuhimu wa kuwa na mpango mkakati Hatua za kuwa na mpango mkakati UMUHIMU WA KUWA NA MPANGO MKAKATI Inatoa mwelekeo wa jumuiya na kuonyesha njia Inaonyesha shughuli / kazi kuu za jumuiya Inasaidia kujua nyenzo zinazohitajika na hivyo kuchukua jitihada ya kuzitafuta Inasaidia kutathimini kama lengo la jumuiya limefanikiwa au halikufanikiwa kwa muda uliopangwa . Inasaidia katika ugawaji wa majukumu na dhamana miongoni mwa wanachama. HATUA ZA KUTAYARISHA MPANGO MKAKATI Matayarisho (preparation) Uhakiki wa mission, vision na value Historia asasi ( organization bio- line ) Uchambuzi wa mazingira ( environment scan) Malengo makhususi ( specific objectives) Kazi au shughuli Viashirio ( indicators) Matumaini na mashaka assumption and risk. Ufuatiliaji na tathimini ( monitoring and evaluation) MATAYARISHO /MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI Wakati wa kuandaa au kutayarisha zoezi la mpango mkakati ni muhimu kuzingatia mambo yafuatayo. Sababu ya kutayarisha mpango huo Nani watashiriki katika zoezi hilo Je washiriki wamealifiwa na kukubali Je washiriki wanaelewa sababu ya kuandaa mpango mkakati huo Nani ataongoza zoezi la mpango mkakati Ni yepi maandalizi na mahitaji muhimu kwa ajili ya kufanikisha zoezi hilo. MIFANO YA VISION Progressive and civil society which citizens, their association and institutions of society enjoys equitable access and control over the benefit of human development .(NGORC) Capable society that uses education to bring its development (The ELITE). MIFANO YA MISSION Changamoto encourages self – employment through provision of credits, quality education and according to the needs of Zanzibar society.( changamoto) NGORC enhance the competency and credibility of CBOs, grass root CSOs, build capacity of young men and women and to catalyze the emergence of an enabling environment for civil society thus enabling it to contribute effectively to social development in zanzibar and some selected arears in East Africa

1 comment: